.

8/05/2021

Gigy Money Adata na Mwigizaji JB Amwandikia Ujumbe Huu Hapa


 AMEANDIKA GIGYMONEY:-

‘’Tutoe kipaji ulicho kiona kwangu , wewe ni mtu ambae tangu Nipo shule nakutazama, nakuona Na nakuangalia lakini kufanya kazi kuwa ata karibu yako kwangu ni moja ya ndoto zangu kwani najua nimejitafuta Sana ila nimejipata kwani nilikua Na ndoto yakuifikisha hii tasnia yetu mbali kwa pamoja ๐Ÿ™๐Ÿผ napenda Movie Sana Na nusu ya maisha yangu ni Tamthilia ๐Ÿ˜‚ Nampenda sana JB sana and thanks for this opportunity I won’t disappoint you Sir @jb_jerusalemfilms’’

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger