.

8/09/2021

Gigy Money na Mo Jay Wamerudiana? Mwenyewe Afunguka


Staa wa muziki wa Bongo fleva @gigy_money_og ameibuka na kukanusha tetesi kuwa anmerudia na ababa mtoto wake @moj360 hii ni baada ya kuvuja kwa video ambayo ilikuwa ikumuonesha staa wa muziki wa Bongo Fleva akiwa na baba mtoto wake @moj360 pamoja na mtoto wao Mayra.
Kupitia Instastory yake Gigy Money ameweka wazi kuwa hajarudiana na baba mtoto wake huyo ila alienda kumtembelea mtoto wao Mayra ambaye kwa sasa ni mgonjwa

✍️@gigy_money_og
"Sijarudiana na mtu, nawadanganya. Mayra anaumwa na baba yake kaja kumuona. Na napenda jinsi wanavyo shirikiana mniache"


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger