.

8/26/2021

GOODLUCK Gozbert "Niliongea na Mungu Nikamwambia Akiona Nimechoka Anichukue Nisihadhirike"Mwimbaji wa nyimbo za injili, @goodluckgozbert amedai kuna muda aliwahi ongea na Mungu na kumwambia ikiwa Mungu ataona amechoka basi amchukue mapema ili hasije dharirika.

Goodluck ameyasema haya kwasababu anaamini kama siku atasema anaacha muziki wa injili basi atawaumiza watu wengi kitu ambacho kwake anaona ni kibaya sana. Na kama ikitokea akaacha muziki huo basi hatojihusisha na chochote kile.

Ukiunganisha dots Hili linamfaa hadi Haji Manara


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger