.

8/31/2021

Gwajima Akutwa na Hatia, Bunge Lampa Adhabu Hii KabambeKamati ya Maadili imependekeza vyom6bo vya Usalama kumchunguza Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima kutokana na kauli alizokiri kutoa Kanisani kwake

Aidha, Chama kilichompa tiketi ya kupata Ubunge (CCM) kimetakiwa kumuwajibisha kwa mujibu wa taratibu zao

Kamati imependekeza Gwajima asihudhurie mikutano miwili ya Bunge mfululizo


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger