Ticker

6/recent/ticker-posts

Gwajima Aomba Kuhojiwa Akiwa Amesisima, Agomea Kiti

Askofu Josephat Gwajima ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Kawe baada ya kuingia kwenye kamati ya Haki Maadili Na Madaraka ya Bunge leo Agosti 25, 2021 amegoma kukaa kwenye kiti alichoandaliwa na kukisogeza pembeni.
 
Alipoulizwa na mwenyekiti Emanuel Mwakasaka kwanini hataki kukukaa alisema leo atasimama kwakuwa amezoea kusimama mara nyingi.

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments