.

8/13/2021

Hemedy PHD Afunguka Sababu ya Kujiita Mwamposa "Wamama Huko Mtaani Hawapindua Kwangu"


Mwamposa ama Mwampopo Papy Fernando Pumbunyo @hemedyphd amedai hakuwahi kumjua mtumishi Mwamposa na wala hakuwahi fikiria kama ipo siku atajiita Mwamposa ila alijiita hivyo kwasababu wana kitaa walimfananisha na mtumishi huyo.

Akifunguka kwenye Empire ya EFM, Hemedy amedai kuna wana walimwambia wamama wanaosali kwa Mwamposa huwaambii kitu kuhusu yule bwana, huwezi washawishi kwa vyovyote vile jinsi wanavyomkubali, na vile kitaani wamama huwa hawapindui kwa @hemedyphd ,yani huwaambii kitu kuhusu Pappy Fernando basi wanashabihana na mwamposa.

Hemedy amekiri kuwa Mwamposa nguvu yake ni kali maana siku hizi akikatiza tu kitaa si watoto au wakubwa utasikia wakiita kwa fujo MwampopošŸ¤£šŸ¤£

Sasa Mwamposa kadai anaoa mwakani,hivyo zameni DM kabla hajafunga milango ya kutoa upako

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger