.

8/11/2021

Idris Sultan Mtanzania pekee Ambaye Ametokea Kwenye Orodha ya Mastaa wa Dunia Ambao Wametengeneza Pesa Ndefu Kupitia Mtandao wa instagram


Mchekeshaji @idrissultan ndiye Mtanzania pekee ambaye ametokea kwenye orodha ya mastaa wa dunia ambao wametengeneza pesa ndefu kupitia mtandao wa instagram mwaka 2021 (Instagram Rich List), kwa mujibu wa tovuti ya #HopperHQ.

Idris Sultan mwenye jumla ya wafuasi 7M yupo kwenye nafasi ya 108, akitajwa kutoza kiasi cha ($42,800) TZS. Milioni 99.2 Ku-post Tangazo la Biashara.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger