Jamani Jamani Embu Mshaurini SHILOLE Anataka Kukata Utumbo Kama Wema

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




Labda kama ulipitwa na hii acha nikusanue,Kama shabiki wa msanii wa Bongo Flava na mjasiriamali @officialshilole umepewa nafasi ya kumshauri kipi afanye kwenye mwili wake,aende Gym,afanye Surgery au akate utumbo.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram,Shishi ameandika👇
“Haya jaman Ndugu zangu tuongee pamoja! kipi nifanye? Nikapigike GYM kiroho mbaya Nifanye sajari??? Nikakate Utumboooo???😂😂😂Haya twende kaz kitakqchokuwa na coment nyingi ndo ntakachofanya”

  
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Haya wee kateni tu kama mnadhani Mungu aliwapa utumbo wa kupikia ndizi mi simoo

    ReplyDelete

Top Post Ad