.

8/23/2021

Jinamizi la Kukopi Beat Laendelea Kumtesa Diamond Platnumz...




Sikio halijawahi kuwa na udanganyifu,na hili linajidhihirisha wazi kwenye hizi nyimbo mbili, Such kind of love ya @otilebrown na Naanzaje ya @diamondplatnumz . Hii imekuwa kama desturi kwa Diamond kuingia kwenye hizi ishu mara kwa mara ikiwa haujapita muda toka wizkid adondoshe emoji ya kucheka "😂" kwenye post ya Diamond ishu ikiwa ni sampling.

Binafsi lawama zinaenda kwa msanii,Kwanini Diamond anapewa lawama na sio producer,Diamond ni international artist na ni mkongwe kwenye game ana uwezo wa kujua uwalakini uliopo kwenye beats anazoandaliwa na mtayarishaji wake,kumkalia kimya muandaaji inamaanisha hata yeye pia ameridhia kukaa kwenye hizi mambo.

Kuna baadhi ya mashabiki wanakwambia mbona Amapiano hamsemi kama kacopy,kwa anaeujua muziki ataelewa kuna utofauti mkubwa kwenye zile beats.


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger