google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Jinsi Madaktari wa Miti Shamba Walivyonisaidia Kupata Mume Niliyempenda na Tukafunga Ndoa | UDAKU SPECIAL

Jinsi Madaktari wa Miti Shamba Walivyonisaidia Kupata Mume Niliyempenda na Tukafunga Ndoa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Ama kwa hakika mapenzi hua baina ya watu wawili na wanao pendana sana kwa wakati wowote.

Hakuna mtu anayeweza kuwa katika uhusiano wa kimapenzi na mtu ambaye hamthamini wala kumpenda kwani mahusiano hayo yanaweza kuleta vita na sintofahamu kwenye ndoa ama uhusiano ule. 

Nilikuwa natamania kupata mchumba kwani tayari ilikuwa nimefikisha umri wa kuweza kuolewa.

Rafiki zangu wote tuliokuwa tumesoma nao walikuwa tayari wameoa na mimi peke ndimi niliyekuwa nimeachwa nyuma. 

Swala hili lilinipa hofu kwani nilifahamu fika siku zilikuwa zinasonga na kwamba hali ingekuwa mbaya zaid iwapo siku zingepita hata zaidi bila yangu kupata mume. 

Wazazi wangu pamoja na jamaa zangu waliendelea kuniwekea msukumo kwani kila mara nilipokutana nao nyumbani
waliniuliza kwa utani ni lini wajukuu wangefika duniani kwa hisani yangu.

Nilifahamu fika kwamba walikuwa wanataka niweze kufunga ndoa  kwani miaka ilikuwa inasonga kwa
kasi sana. 

Nilipatana na Jared ambaye tuliingia katika mahusiano ya kimapenzi na hapo nikajiambia
kwamba nilikuwa tayari keshapata mume wangu wa maishani. 

Siku zilivyosonga, tabia zake zilinikera kwani aliniwacha na kusitisha uhusiano wetu bula yangu kujua. Ilikuwa ni ishara tu kwamba alitaka tu kujitimizia tendo la ndoa kupitia kwangu.

Nilipiga moyo konde kwani nilijiambia akilini kwamba hakuwa kipenzi change cha roho. 

Muda ulizidi kusonga lakini hakuna mwanaume yeyote aliyehata piga mluzi nilipopita kwenye umati wao. 

Nilibaki nimesononeka sana. Nilifanya kila juhudi ili kuwavutia wanaume lakini yote yalikuwa ni bure. 

Nilinunua mavazi yaliyotoa umbo langu vizuri lakini hakuna hata mwanaume yeyote aliyenijia na jambo hilo lilinifanay niweze kujidharau kabisa.

Susan ambaye alikuwa kasha olewa na ambaye alikuwa amepitia shida kama yangu kabla ya kupata
mume, aliniambia kwamba alipata usaidizi kutoka kwa daktari Kiwanga. 

Alinipa nambari ya simu ya daktari Kiwanga na hapo nikaipiga ili kutenga muda kukutana naye kwani ama kwa hakika nilikuwa
nimefika ukingoni na swala hili la upweke na kukosa mume licha ya miaka kuwa imesonga hata zaidi.

Baada ya wiki mbili nilifunga safari hadi kwenye afisi za daktari Kiwanga kwa ajili ya usaidizi ili
niweze kupata mume. Alinihoji na hapo nikawelezea shida niliyokuwa napitia ambapo alinishughulikia. Alinipa kichupa fulani kilichokuwa na mafuta ambapo aliniambia kila siku niwe najipaka nikondoka kwenda kazini. 

Nilirejea nyumbani na nikazingatia masharti yote ambayo aliniambia kwani nilitamani sana kuwa kwenye ndoa. 

Baada ya siku tatu nilipatana na Haman ambaye tulichumbiana na akanieleza kwamba hapo awali alikuwa amepatana na wapenzi kadhaa lakini hawakuwa kama mimi. 

Alisema kwamba tabia aangu zilikuwa zimemfurahisha ajabu.

Tulichumbiana na baada ya muda fulani nilimtambulisha kwa wazazi wangu naye pia akanitambulisha kwa wazazi wake. 

Hii ilikuwa ishara tu kwamba ndoa ilikuwa njiani. Mwishowe tulifanya harusi kubwa ambapo kila mtu alidhihirisha kwamba tulikuwa mume na mke kirasmi. 

Maisha yetu na Haman yalikuwa yenye kutamaniwa na wengi kwani hatukuwa na ugomvi.

Daktari Kiwanga a Natibu magonjwa mbalimbali yakiwemo kifaduro, kifua kikuu kisonono na
mengineyo kwa muda wa siku tatu pekee. 

Ana uwezo wa kukinga familia yako kutokana na watu wenye nia mbaya na wasio kutakia mema kwa wakati wowote ule.

Kwa mengi zaidi wasiliana nao
kupitia barua pepe kiwangadoctors@gmail.com

Ama kwenye wavuti www.kiwangadoctors.com

Ama waweza kuwasiliana nao kupitia nambari ya simu +254 769404965.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad