Jirani Afunguka "Hamza hakuwa mzungumzaji kwa sana, hana matatizo na mtu yoyote"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA"Hamza hakuwa mzungumzaji kwa sana, hana matatizo na mtu yoyote nimeshangaa sana kwa lile tukio, ukikaa naye ni mtu wa kawaida sema hana mazungumzo mengi.

"Namfahamu sana tangu makuzi yake ya udogoni ila kuna muda aliondoka na juzi juzi alirudi akawa anapita na pikipiki yake hapa ila tukio hili limenishtua sana." amesema Omary, Jirani yake Hamza, aliyezua taharuki jana.

"Mara ya mwisho kuja hapa kununua chips ilikuwa Jumatatu na alikuja hapa akaagiza chakula akala tukawa tunapiga nae story za kawaida tu hapa." amesema Issa muuza chips Upanga, mahali ambapo Hamza alikuwa anaenda kuchukua chips.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad