.

8/31/2021

Kamati Yapendekeza Jerry Slaa AVULIWE Ujumbe wa Bunge la AfricaMbunge wa Ukonga, Jerry Silaa amepewa adhabu ya kuvuliwa Ujumbe wa Bunge la Afrika(PAP) na kutohudhuria mikutano miwili ya Bunge

Adhabu hiyo imekuja baada ya Kamati ya Maadili ya Bunge kujiridhisha kuwa alitoa kauli ya uongo kuhusu Mishahara ya Wabunge kutokatwa kodi

Aidha, wakati wa kusikiliza shauri lake, Jerry alionekana kutojibu maswali kama ilivyopaswa
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger