google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Kanye West Hatabiriki Kabisa.. Watu Wapigwa na Butwaa Baada ya Kumuondoa Jay Z Katika Album Yake na Kumuweka Huyu Mwanamuziki Mpya | UDAKU SPECIAL

Kanye West Hatabiriki Kabisa.. Watu Wapigwa na Butwaa Baada ya Kumuondoa Jay Z Katika Album Yake na Kumuweka Huyu Mwanamuziki Mpya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Siku Zote Rapa @kanyewest 🇺🇲 Huwa anafanya Vitu Anavyotaka Yeye 😄, Na Ameonekana Kuziondoa Verse Za #Jayz Kwenye Ngoma Aliomshirikisha Katika Album Yake Ya #DONDA

#Kanye Ameamua kumuweka Dababy Baada Ya Kutoa Verse Za #Hov (Jayz) Kwenye Ngoma Hiyo

Hii ni Baada ya Kufanya Listening Party Mjini Chicago Kwenye uwanja wa #Soldier Ambapo Mashabiki Walishtushwa Kwa Kumuona #Dababy Badala Ya Jigga

Hata hivyo Hadi Sasa bado Haijafahamika sababu za Rapa Huyu Kuondoa Verse Za Jayz Na Kumuweka #Dababy

Je, Unadhani Kwanini #KanyeWest Ameamua Kufanya Hivyo ??

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad