.

8/11/2021

Kashfa ya unyanyasaji wa kijinsia wamuondoa ofisini Gavana wa Marekani
Gavana wa Jiji la New York, Andrew Cuomo, ametangaza kujiuzulu ndani ya siku 14 baada ya Uchunguzi kubaini aliwanyanyasa kijinsia Wanawake kadhaa
 
Wanademocrat wenzake akiwemo Rais Joe Biden wamekuwa wakishinikiza Cuomo aachie Madaraka. Gavana Kathy Hachul atachukua nafasi yake na kuwa Mwanamke wa kwanza kuiongoza #NewYork


Cuomo ni Gavana wa tatu wa Jiji hilo kuondoka Madarakani kutokana na skendo

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger