.

8/09/2021

Kumekucha.. Lemutuz Amwita Polepole MSALITI "Kajitolea tu Kujilipua ila ana Viongozi Wengine wa CCM nyuma yake"Ameandika Lemutuz:

"LIVE STRAIGHT TALK!: THE ART OF LOW THINKING!: Tatizo sio ALICHOKISEMA KUPINGA MAELEKEZO YA MWENYEKITI WA TAIFA WA CCM NA RAIS WA JAMHURI NA AMIRI JESHI MKUU RAIS SAMIA ....NIWAPONGEZE WALE WOTE WALIOMJIBU TAYARI .....ISIPOKUWA wote Mliomjibu MMEKOSEA KITU KIMOJA TU hamkuona ANGLE FACT YAKE HUYU MSALITI ni kwamba HAYUPO PEKE YAKE ....ANAO BAADHI YA VIONGOZI WA CCM NYUMA YAKE yeye kajitolea tu KUJILIPUA ninasema aliyoyasema sio peke yake ....ni kama yule Mzee wa Mwanza pia alipomtukana Marehemu "CHUMA" na yeye HAKUWA PEKE YAKE ALIJILIPUA TU nyuma yake na yeye alikuwa na baadhi ya Viongozi ambao na yeye pia anao nyuma yake huyu MSALITI .. .KWANZA TATIZO LAO HAWAKUBALI KWAMBA MAREHEMU CHUMA ALISHAFARIKI NA SIO RAIS TENA na HATARUDI TENA na HAWAKUBALI KWAMBA MAMA SAMIA NI RAIS WA SASA NA AMIRI JESHI MKUU.....hizi habari za KUKATAA CHANJO ni kisingizio tu cha kujifichia MAWAZO YAO MAOVU JUU YA MAMA na nina wasi wasi sana kwamba katika mawazo yao maovu juu ya Mama huenda wanashirikiana na baadhi ya Viongozi wa Upinzani ......ni matumaini yangu kwamba VYOMBO VYA DOLA VITAMUANGALIA KWA MAKINI SANA huyu MSALITI ili kujua NYUMA YAKE KUNA NANI NA WANATAKA NINI?....Binafsi sijwahi kuingiana naye mahali popote katika Miaka yake yote ya UONGOZI WA CCM siku zote nilikuwa namkwepa cause NILIMUONA KWA MACHO YANGU AKIIPINGA KWA NGUVU ZAKE ZOTE SERIKALI NA CCM HUKO NYUMA na baadaye nikashanga MY FRIEND "CHUMA" akimpa nafasi kubwa kama ile mtu aliyekuwa Mwanachama hai wa NCCR akaingia CCM bila kutangaza kutoka Chama chake yakafanyika kimya kimya..IN THE FUTURE CCM TUNA LA KUJIFUNZA HAPA MAKOSA YA KUWAPA NAFASI VIONGOZI KATIKA CHAMA CHETU AMBAO HAWAJAPITIA SYSTEM YA CHAMA...Again ninarudia kwamba huyu SIO YEYE HUO NI MSIMAMO WA WENZAKE YEYE KAJILIPUA TU kama alivyofanya yule Askofu wote ni Team moja wala huhitaji PhD kujua kwamba hawa wote ni timu moja HAWAMTAKI RAIS SAMIA ni muhimu WAKATAFUTWA WOTE NA VYOMBO VYA DOLA WAKAKUMBUSHWA KWAMBA MAMA NDIYE RAIS KWA MUJIBU WA KATIBA HAENDI KOKOTE MPAKA AMALIZE TERM ZAKE MBILI KAMA ILIVYO KAWAIDA YA CCM kama wanautaka sana Urais wasubiri MIAKA 10 IJAYO MAMA AKIMALIZA ...TUSIWAPUUZE HAWA WASALITI!" - @lemutuz_superbrand
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger