.

8/17/2021

Kumekucha..Huyu Hapa Askari wa Barabarani wa Kundi la Taleban Huku Afghanistan


Askari wa usalama barabarani wa kundi la Taliban, akiongoza magari katika mji wa Kandahar uliopo kusini mwa Afghanistan. Tangu jana wanamgambo wa Taliban wamerejea tena nchini Afghanistan na kushika madaraka baada ya kufurushwa na majeshi ya Marekani mwaka 2001.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger