AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Imechukua miezi mitatu na wiki kadhaa kabla ya kurejea tena kwa filamu ya Slay aliyoshiriki Mtanzania @idrissultan kwenye mtandao wa Netflix.
Filamu hiyo ilitolewa kwenye mtandao huo April 26 kwa sababu za hakimiliki na kufanikiwa kurejeshwa tena August 8. Good news ni kuwa mapokeo yake yamekuwa ni makubwa sana.
Filamu hiyo imeingia kwenye top 10 ya Netflix nchini Nigeria ikishika nafasi ya 5.
Bwana kokoto la Netflix @idrissultan anatuwakilisha vyema😁🙌
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK