.

8/02/2021

Kumekucha...Msanii Ruby Alipiza Kisasi Kwa Aunty Ezekiel Amchukua Moses Iyobo
Msanii Ruby AMEVUNJA ukimya baada ya kumpost baba mtoto wa Aunt Ezekiel na kuandika kuwa anampenda sana

Ikumbukwe tu miezi kadhaa iliyopita Aunty Ezekiel alianza kutoka kimapenzi na baba mtoto wa Ruby hadi kuzaa nae mtoto mmoja.....

Hiii Inaonekana ni pay back ya Kiaina yake.... PICHA Hapo juu inaonesha comment ya Ruby kuhusu Moses Iyobo
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger