.

8/20/2021

Kumekucha..Wakurugenzi Watakao Shindwa Kwenda na Kasi ya Serikali Kukuona cha MotoWaziri wa OR-TAMISEMI, Ummy Mwalimu amesema watapendekeza kwa Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu Wakurugenzi ambao hawawezi kwenda na kasi ya Serikali yake

Asema watashauri Wakurugenzi watakaoshindwa kujenga Madarasa 500 ndani ya wiki mbili na Vituo vya #Afya zaidi ya 100 ndani ya mwezi mmoja wakae pembeni

Ameongeza kuwa, kazi yao sio kukaa ofisini bali kushirikiana na wananchi kuleta Maendeleo
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger