.

8/09/2021

Kuna Makundi Simba yapelekwe Muhimili Kupimwa– Oscar oscar
Utani wa Oscar Oscar mzee wa kaliua mtangazi wa kituo cha radio Efm na mchambuzi wa soka kuhusiana na kile kinachoendelea ndani ya klabu ya Simba SC.

@oscaroscarjr amesema kwa kile kinachoendelea ndani na nje ya klabu kwa viongozi kutupiana maneno itakua ni busara kama ilivyokua imeelezwa kwamba Jonas Mkude alipaswa kwenda kufanyiwa vipimo Muhimbili angeambatana na viongozi hao kwani wanayoyafanya hayaijengi Simba zaidi ya kuibomoa.

Amempongeza Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba (C.E.O), Barbara Gonzalez kwa kukaa kimya akijua anayafanya hayo kwa kulinda maslahi mapana ya klabu.

Tangu kuondoka kwa Haji Manara aliyekuwa Afisa Habari wa klabu ya Simba kumekuwa na mijadala mingi ndani na nje ya timu hiyo inayohusisha Uongozi.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger