Lemutuz Afika Pabaya Sakata la Haji Manara na Mo Dewji..."Hivi huko Simba hakuna mtu wa kumshauri"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Reposted from @lemutuz_superbrand LE SUPERBRAND: ZE AKILI ZANGU ZA USIKU LIVE: I AM SPEECH LESS Hivi huko Simba hakuna mtu wa kumshauri huyu SLAVE MASTER? ....Jana nilisema na kuna MLIOMTETEA SANA HUYU SLAVE MASTER wenu ....HAYA NDIO NILIYOKUWA NAYASEMA NI AIBU! ......haya mambo ni AIBU kwa Super Bilioneaz kushuka this low .....NIMEAMUA KWAMBA NINAWEZA KUIPENDA SIMBA BILA KWENDA MPIRANI WALA KUJIHUSISHA NA VIONGOZI WAKE WA AINA HII.....Kuna Viongozi wa Bodi ya Simba TUNAHESHIMIANA SANA NITAENDELEA HIVYO lakini huyu SLAVE MASTER NA CEO wake I am done SITAJIHUSISHA NAO TENA ....Ninajua kwamba I am no body lakini ni muhimu kuwa na MSIMAMO KATIKA MAISHA! au
nibaki na my AMERICAN SPIRIT! - @lemutuz_superbrand
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad