.

8/16/2021

Lemutuz Aliamsha Kwa Askofu Gwajima "Askofu Anashindana na Nani na Huwa Anamjibu Nani?"


Kupitia ukurasa wake Lemutuz ameandika haya:

 SUPERBRAND!: ZE AKILI ZANGU ZA USIKU LIVE! .. Baada ya kusikia kauli za Askofu wetu leo Kwa Taifa kwamba "HATACHANJWA NA YUPO RADHI KUACHIA UBUNGE WA CCM KULIKO KUCHWANJWA!" ni ishu inayofikirisha sana ....TUMETOKEA WAPI? ...FACTS: Rais Samia anatangaza CHANJO YA HIARI HAKUNA ANAYELAZIMISHWA KUCHANJWA.....ASKOFU AKAJIBU: Wananchi Wasikubali KUCHANJWA HIZO CHANJO HAZIKO SALAMA......leo Askofu karudia tena kwamba YUPO RADHI KUACHA UBUNGE WA CCM KULIKO KUCHANJWA! ......Ninajiuliza Swali Moja zito sana na la Msingi kwamba ASKOFU ANASHINDANA NA NANI? NA HUWA ANAMJIBU NANI? .....NARUDIA TENA ....ASKOFU ANASHINDANA NA NANI? NA HUWA ANAMJIBU NANI? .....Mpaka CCM tutakapokijibu hili Swali tutaendelea kuvurugwa na hiyo special Movement ambayo SIO SIRI INA VIONGOZI WENGI WENYE NGUVU NYUMA YAKE .......Wakati umefika wa Rais Samia KUACHANA NA VIONGOZI WENGI ALIOWARITHI TOKA SERIKALI ILIYOPITA NA WAKATI NI HUU! ......ni muhimu Rais akapangua Baraza la Mawaziri Now BEFORE ITS TOO LATE ....K wa sababu Askofu na Kundi lake ni FACT kwamba WANAKWAMISHA AGENDA ZA MAMA na kuifanya Serikali kuwa kwenye DEFENSIVE MOOD ALL THE TIME kuliko KUWEKA MEZANI AGENDA ZAKE ZA MAENDELEO KWA TAIFA .....WANAOMPINGA RAIS SAMIA wapo very Smart and Super Strategic ...cause wanachofanya ni KUMTUMA MMOJAWAO KUCHOKOZA then wanatulia na KUPIMA MATOKEO then WANAMTUMA MWINGINE .....Alianza Askofu na Chanjo then akaja Taratibu na CHANJO na Majuzi wakalitumia GAZETI LA CHAMA UHURU na leo wamerudia tena kupitia kwa Askofu ......GUYS HAYA MAMBO HAYATOKEI KWA BAHATI MBAYA now kama hamuniamini subirini NEXT WEEK WATAIBUKIA NA MAHALI TENA NA HIZI CHOKO CHOKO ......SWALI LA MSINGI NI ASKOFU ANASHINDANA NA NANI? NA ANATUMWA NA NANI? ...Ninashindwa kuelewa CHAMA CHANGU CHA MAPINDUZI KIPO WAPI? .....Mtaendelea kutoa Matamko yasiyokuwa na Matendo au what? .....MTOTO AKILILIA WEMBE MPE! SIO SIRI KUNA MTOTO HAPA ANALILIA KIWEMBE......HAKUNA ANAYEMZUIA ASKOFU ASICHANJWE NA HAKUNA ANAYEMLAZIMISHA KUCHANJWA.....ISIPOKUWA ANAPOPINGA UAMUZI WA MWENYEKITI WAKE WA CCM HADHARANI NI DALILI AIDHA ZA DHARAU AU KUPIMA MAJI! .....na NANI WAKO NYUMA YAKE?...IELEWEKE TENA CHANJO NI HIARI au my AMERICAN SPIRIT - @lemutuz_superbrand
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger