.

8/21/2021

Lemutuz Ametaja Kiongozi wa Dubai Kama Mtu Mwenye AKILI nyingi Kuliko Wote Duniani....Kisa Kizima Hiki HapaLE SUPERBRAND: ZE AKILI ZANGU ZA ASUBUHI LIVE: .. Huyu Mwarabu ndiye MY ROLE MODEL NA MY IDOL AND MY ICON inapokuja kwenye AKILI KUBWAZZZ ni MFALME WA DUBAI kwa Jina anaitwa SHEIKH MOHAMMED BIN RASHID ALI MAKTOUM ....kwa IMANI YANGU NA AKILI ZANGU ninaamini ndiye BINADAM MWENYE AKILI KUBWA SANA KATIKA DUNIA YA SASA kama sio wa KWANZA basi ni wa PILI ....Mwaka 2014 nilipata bahati ya KUPELEKWA DUBAI NA SHIRIKA LA NDEGE LA EMIRATES KWA MAFUNZO MAALUM YA PROMOTIONS KWA MWEZI MMOJA ndipo nikapata nafasi ya KUMSOMA HUYU MFALME KWA KARIBU NA KUIELEWA DUBAI AU UNITED ARAB EMIRATES.....NI FACT Kwamba Dubai mpaka Mwaka 1977 ILIKUW ANI JANGWA TUPU .....Lakini Miaka 10 baadaye Maktoum ALITUMIA AKILI KUBWA SANA mpaka kuigeuza kuwa JIJI LA DUNIA kama lilivyo sasa ...MAKTOUM kwa kutumia AKILI KUBWA SANA alifanikiwa kuifanya BIASHARA YA REAL ESTATE kuwa ndiyo KIPATO CHA KWANZA DUBAI badala ya Mafuta ...then akafanikiwa kuifanya TOURISM kuwa ndicho KIPATO CHA PILI CHA TAIFA ....na hapo ndipo alipoonyesha Maajabu makubwa ya AKILI ZAKE KUBWAZZZ alipojenga Gorofa refu kuliko yote Duniani yaani BURJI KHALIFA na kuwafanya Wazungu kutoka Dunia nzima kwenda KUSAFIRI TO DUBAI NA KILIPIA PESA NYINGI SANA kuangalia tu Urefu wa Jengo ....lenye Hoteli 54 kubwa ndani mfano wa Serena Hotel .....MAKTOUM amepeleka Wageni MILLIONI 24 Dubai kuwafanyia kazi Wananchi ambao MWAKA 1950 walikuwa Elfu 20 tu na leo wapo MILLIONI TATU TU! ....Maktoum aliweka SHERIA KALI SANA inayowataka Wageni wanapofungua Biashara Dubai kuwa ni LAZIMA KUWA NA MWANANCHI MZAWA ambaye anakuwa na Mgawo katika Biashara hiyo ya Mgeni ....matokeo ni WaDubai Majority huwa wanalala tu kusubiri MGAWO .....Leo ASAILIMIA 80 YA CRANES ZA UJENZI DUNIA NZIMA ZIPO DUBAI na Maktoum amemfanya Mtoto wake wa kwwnza wa kiume kuwa Meya wa Dubai ndiye anayesimamia Maendeleo ya Dubai leo akijitayarisha kushika Ufalme huo wa Baba yake ....Maktoum ndiye mmiliki wa Kampuni maarufu Duniani ya JUMEIRA GROUPS OF COMPANIES ambayo pia ndiye Mmiliki wa EMIRATES AIRLINES ....leo Dubai inapata Watalij Millioni 1.3 kwa Mwezi ikiwa haina hata Panya wala Mbuga ya Wanyama ....MAKTOUM NI MFANO WA AKILI KUBWAZZ SANA DUNIANI! ...CASE CLOSED! - LE MUTUZ
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger