.

8/19/2021

Lengai Ole Sabaya Akiri Kumiliki Silaha MahakamaniMKUU wa zamani wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya(34), amekiri mahakamani kwamba alikuwa akimiliki silaha ya moto ya Glock 17.

Ole Sabaya, alithibitisha mahakamani huko, kumiliki silaha hiyo, wakati akijitetea na kutoa ushahi wake, mbele ya Hakimu Mwandamizi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha, Odira Amworo.


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger