.

8/30/2021

Licha ya Manara Kukacha Kipindi Chao, Gerald Hando na Maulid Kitenge Wampongeza Haji Manara


Licha ya kwamba @hajismanara hajaja kwenye kipindi cha Efm kama ilivyokuwa imepangwa, Watangazaji wa Kipindi hicho cha Asubuhi @maulidkitenge9 na @geraldhando wamempongeza sana Haji Manara kwa kazi aliyoifanya, kwamba jana alifanya kazi nzuri na kubwa

Kwa ujumla wanasema Yanga wamepatia sana kumsajili Haji Manara kwa mpira wa leo sio Hoya Hoya bali ni biashara, Manara ameamsha hari mpaka jezi za Yanga zimeuzwa zote na kujaza ule uwanja
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger