.

8/03/2021

Lulu Diva na Fred Vunja Bei Mahaba Mazito "Lulu Diva Atia Neno"Msanii wa Bongo Flava na muigizaji wa tamthilia nchini Lulu Diva amekanusha kuwa kwenye uhusiano na mfanyabiashara maarufu nchini Fred Vunjabei hii ni baada ya picha waliopiga pamoja siku kadhaa nyuma na Lulu akiipost kwa caption zenye mahaba ndani yake.

Akiliiweka sawa kwenye Empire ya E-FM, Lulu Diva amedai walikutana na Vunja Bei kwenye ndege wakiwa safarini hivyo na kupiga picha tu, kilichokuwa kikiendelea kati yao si kama watu wanavyotafsiri.

Lulu alipost picha hiyo wakiwa wawili na tajiri huyo akiisindikiza kwa caption iliyosomeka👇
Bora ukaacha kufatilia kama babe wako anacheat, fatilia kama ana furaha @fred_vunjabei ”
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger