.

8/01/2021

Maestro: Ukimya wa Babra ndio uliomuondoa Manara

 Mtangazaji huyo na mchambuzi wa soka kutoka Efm Maestro Ibrahim ameongeza kuwa Haji Manara alifanya kosa kuongea mambo ya Simba hadharani huenda hakujua madhara yake shida inakuja CEO @bvrbvra alitumia busara akakaa kimya bila kumjibu kitu

Haji Manara ameifanyia Simba mambo makubwa sana lakini kwa hili alilofanya ilitakiwa mmoja aondoke, je kwa muliozisikia sauti ungemuadhibu nani kama wewe ungekuwa msuluhishaji Haji Manara au @bvrbvra ambaye hakuongea chochote?

Kwa haya maamuzi nafikiri Simba wameonyesha ukomavu kwenye uongozi, simshauri Haji Manara arudi Simba kinachotakiwa afanye mambo yake.HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger