.

8/11/2021

Majibu ya Gigy Money Kuhusu Kurudiana na Mo Jay


MSANII Gigy Money amejibu madai ya taarifa za kurudiana na mzazi mwenzie Mo Jay baada ya kuonekana wakiwa pamoja na mtoto wao Mayra.

 

Gigy Money amekanusha hilo kwenye ‘Insta Story’ yake kwa kueleza hajarudiana na mtu hivyo watu wasidanganywe na trending za story hizo mitandaoni, kilichotokea ni Mayra alikuwa anaumwa na baba yake kaenda kumuona.

 

“Sijarudiana na mtu jamani, naona natrend huko wanawadanganya tu, Mayra anaumwa na baba yake kaja kumuona nimependa jinsi wamecoperate kwa hiyo sioni kama ni kosa, mniache”. comment ya Gigy Money

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger