.

8/19/2021

Majizo "Nilishakuwa na Wanawake Kibao ila Lulu Michael ni Wakipekee Sana"CEO Wa Efm na TvE Bwana Francis Ciza Maarufu Kama "Majizo" Amemwagia Sifa Kibao Mama Wa Mtoto wake Ambaye Ni Elizabeth Michael "Lulu" Kuwa Ni Mwanamke Sahihi kwenye Maisha yake na Alikuwa na Ndoto ya Kuwa na Mwanamke Kama Yeye.

"Kwenye Makuzi Yangu Nimekuwa na Wanawake Kibao wa Tofauti Tofauti Ila Elizabeth Ni Mwanamke wa Tofauti Kabisa Anaroho Safi Sana Nilitamani Sana Kuwa na Mwanamke Kama Yeye Nashukuru Sana MUNGU kwa Kunipa Yeye"-Amefunguka Majizo

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger