.

8/09/2021

Makubwa Maulid Kitenge Afunguka Kuibiwa Account yake ya Instagram Baada ya Kuanza Mchakato wa Kurudi EFM#MaulidKitenge anasema baada ya kuanza mchakato wa kurudi #EFMnaTVE, account zake za instagram zilidukuliwa.
Anasema hajui ni nani amefanya kitendo hicho, anasikia watu wengi wakihisi watu lakini yeye hajui ni nani amefanya hivyo.
Alichosisitiza ni kwamba account hizo ni sehemu nyingine anayotumia kupata riziki, hivyo mtu aliyezichukua hajamtendea haki.
#MaulidKitenge amesema kwa sasa hana account instagram ila zitarudi.

Kupitia kipindi cha Joto la Asubuhi cha TV E Maulidi amesema kuwa hajui ni nani aliyefanya kitendo hicho japo kuna watu wanahisiwa kufanya hivyo. Yote kwa yote anasema kuwa aliyetenda hayo hajamtendea haki.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger