.

8/10/2021

Mange Kimambi Afunguka KESI ya Mbowe "Nimeletewe Information Ambayo Imenipa Pozi"


Mange Kimambi Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika haya:

" Aisee kuna issue nimeelezwa kuhusu hii issue ya Mbowe.
Nachoweza kusema mimi ni tuwe na subra kidogo.
Nilibaki kidogo nigeuzie gia hewani ila nimeletewa information ambayo imenipa pause, inabidi nivute subra kidogo kabla sijakurupuka." Mange

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger