Mange Kimambi Afunguka Kuhusu wa Afghanistan Kudandia Ndege..."Trump Ndio Alianzisha Hii Kitu"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Dah, my heart breaks for Afghans.

This is where one gets conflicted, should America stay and help these people or should America stop policing the world and just abandon them? I think America should stay. 😭

Trump ndo alienza hii kitu ya America first. Akasema wamarekani wajijali wao wenyewe waache kuhangaika na matatizo ya dunia. Akasema wamarekani wanatumia hela nyingi kwa matatizo ya nchi zingine wakati wao wenyewe wana matatizo yao. Moja ya vitu vilivyofanya Trump akapendwa na kushinda urais ilikuwa ni hii kitu ya kwamba America iache vita sehemu isiyowahusu na waache hap watu wajijue wenyewe. Trump kwenye kipindi chake aliwaachia wapiganaji wa taliban zaidi ya elfu 5 na pia akamwachia huyu ambae ndo kawa Rais sasa. Yani huyo kiongozi wa Taliban Trump alimwachia pia. Na Trump alianza kuwaondoa wanajeshi wa marekani huko Afghanastan akiwa anataka kabisa kuwaachia Taliban hiyo nchi.

So kuanzia kipindi cha Trump Hawa Taliban walianza kuwa very strong. Na wamarekani wa chama cha Trump walikuwa wanasapoti marekani kuondoka Afghanistan.

Kwahiyo Biden alipoingia ikulu amekuta tayari process ya marekani kuondoka Afghanistan imeshaanza . Na yeye ikabidi aendelee nayo na alipanga kuondoa nusu ingine wa wanajeshi wa marekani. Na wengine kumaliziwa baadae. Ila kilichotokea ni kitu ambacho hawakutegemea kingetokea haraka hivyo. Yani in a few days hao Taliban wameshika nchi.

Kuna sehemu niliona Kuna mtu kasema eti wamarekani waondoke tu sabbabu Afghanistan belongs to Afghans na hao Taliban ni nchi yao. Hiyo inaweza kuwa kweli, Ila hata kama ni nchi yao, unapoona wananchi wako desperate kukimbia utawala wa hao Taliban kiasi cha kudandia ndege inayopaaa mpaka wengine wamekufa kweli hao Taliban ni wa kuachiwa nchi hata kama ni nchi yao.?

Biden ataongea na wamarekani leo mchana kuhusu kinachoendelea. Sijui atakuwa ameamua kufanya nini. Mimi kama mimi I wish kama wasi wa abandon hawa wananchi jamani.Wanawake wanaenda kubakwa, hakuna kwenda shule, yani ni mateso. Ila in reality ni kwamba marekani hawawezi kubaki maana itakuwa wanaanza A na wamarekani wenyewe hawataki tena vita.

Hii policy ya America first aliyoanzisha Trump, siikubali hata kidogo. Very selfish.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad