Mange Kimambo Amshukia Mo Dewji Baada ya Manara Kuhamia Yangu "Sasa Tutapelekeshwa Mpaka Tukome"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




Mange Kimambi Ameandika haya:

 "@moodewji Umefurahi sasa Simba tutakavyoteswa na hiki kiumbe? Sasa tutapelekeshwa na utopolo mpaka tukome. Yani washinde wasishinde tutakuwa tunakerwa na hiki kiumbe.

Huyu kiumbe anajua kukera. Sasa embu ona kucheza kwenyewe hajui ila bado anatutia hasira angejua kucheza je? Hapo ndo hawajafunga wakitufunga je? Unajua Mo umetukosea sana wana Simba?

@moodewji Sasa utaona yule bosi wa Yanga atakavyokaa vizuri na Haji. Maana yule jamaa anakaaga behing the scenes making things happen, anaachaga wanaopenda kuuza sura wauze sura. Yani yule jamaa ana hulka yakitajiri haswa. Hatafutagi popularity maana pesa yake tu ni popularity tosha. Tatizo lako Mo ni utajiri wa kurithi ungekuwa self-made kama yule GSM wala usingekuwa na mcheche wa kutafuta ucelebrity.

Nakwambia hivi Mo kila Haji atakapotukera na hiyo Yanga yake hasira tutakuwa tunakuja kuwamalizia wewe na Barbara mpaka mumrudishe Simba" Mange Kimambi
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad