.

8/24/2021

Maoni ya Shaffih Dauda, Kauli ya Rais Samia
"Wako wasichana tuko nao maofisini wananyoa viduku lakini wamevaaje? Mwonekano wako ukoje? Sio unavaa mlegezo kinjunga unadundika kama James Tupa Tupa ukiulizwa kwanini eti unacheza mpira wa miguu .

"Hilo ndio jambo ambalo jamii yote ya wapenda mpira tunapingana nayo. Hiki ndio alivyokuwa anakizungumzia mama Samia Suluhu Hassan (Rais). Na watu wameshindwa kukielewa. Kwani huwezi kucheza mpira na mwonekano wako ukabaki wa kike?

"Amri Kihemba alisema nyumbani kwake ana mtoto wa kike alisema kwa hali anavyoiona hawezi kumruhusu mtoto wake wa kike acheze mpira kwa stahili ile" @shaffihdauda_ Mchambuzi

#LiveOnClouds360
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger