.

8/26/2021

Masha Love Apata Aibu Baada ya Kope ya Bandia Kumdondoka Wakati wa Press ConferenceVijimambo: Kope ya Msanii na  Queen Masha Love imeng'oka wakati anaongea na Waandishi wa habari.

Habari:

Masha Love amekuwa Balozi wa Sabuni za Saffron za Mwanadada Ester Dalali kwa kitita cha Tsh Milioni 40 kwa miezi sita na nyumba juu yenye thamani ya zaidi ya Milioni 90.

Masha ameangua kilio mbele ya Waandishi wa habari wakati akitia sahini mkataba huo kwa kile alichosema hakutegemea kupata Ubalozi huo.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger