.

8/30/2021

Maskini Haji Manara Ajitokeza na Kutoa Sababu za Kuwakacha EFM Leo Asubuhi.. "Nilipata Ajali"


Msemaji wa Yanga @HajisManara amekiri kupata ajali ‘mbaya’ ya gari jana usiku Jijini Dar es salaam na kusema alinusurika kwenye ajali hiyo ambayo imeliacha gari lake likiwa limeharibika vibaya.

Haji ameyasema hayo wakati akieleza sababu zilizomfanya ashindwe kufika kwenye mahojiano na kituo cha Radio cha Efm leo asubuhi ambapo ameandika

"Usiku wa jana nilinusurika na ajali mbaya ya gari baada ya gari yangu kugongwa vibaya na kusababisha kuharibika vibaya, hadi kuja kulala ilikuwa ni mida mibaya ya usiku mkubwa"
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger