.

8/18/2021

Mataifa zaidi yaokoa raiya wake kutoka Afghanistan
Washirika wa Marekani kutoka muungano wa NATO, wanaendelea na juhudi za kuokoa raia wao kutoka Afghanistan, wakati vikosi vya mwisho vya Marekani vikiendelea kuondoka nchini humo siku chache tu baada ya kuanguka kwa serikali ya Rais Ashraf Ghani.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger