.

8/09/2021

Maulid Kitenge ni Dili Balaa Afunguka Offer Zinavyoletwa Mezani.."EFM Niliondoka Mara ya Kwanza Baada ya Kuletwa OFFER Mbili"
“Majaribio ya kunitoa EFM yamefanyika mara mbili, jaribio la kwanza nilipolipata nikajadiliana na Majizo tukamaliza, lilipokuja la pili, mara hii nikamwambia Majizo akina Shadya wanatakiwa wasome lakini, tulielewana na akaniruhusu kwa kusema hapa ni nyumbani kwako”


“Tasnia ya habari iko katika mtazamo wa biashara kwa sasa, Majizzo alivyonichukua kwa mara ya kwanza ilikuwa ni kwa sababu za kibiashara hata kule nilipoenda ilikuwa ni kwa sababu hiyo hiyo ya biashara, kuhamahama huku ni jambo la kawaida, watu wanatafuta maslahi”
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger