.

8/28/2021

Mchungaji aliyegoma kupeleka Watoto shule akidai Mungu anazuia, ahukumiwaMahakama ya Wilaya Bukoba imemtia hatiani Mchungaji Merchades Buberwa mkazi wa Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera kwa makosa matatu kati ya nane yaliyokuwa yakiwakabili yeye pamoja na mke wake yakiwemo makosa ya Sheria ya mtoto na kushindwa kutimiza wajibu wao kama wazazi kwa kutowapeleka watoto shule.
Mchungaji huyo amehukumiwa kifungo cha miezi sita faini ya shilingi milioni moja kwa kila kosa huku mke wake akipewa kifungo cha nje na masharti ya kutotenda kosa lolote ndani ya kipindi cha miezi sita.

Akiongea nje ya Mahakama Wakili wa Serikali ameeleza kwa undani juu ya kesi hiyo.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger