.

8/25/2021

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Simon Sirro amethibitisha kutokea kwa mauaji ya askari wawili jirani na ubalozi wa UfaransaBREAKINGNEWS Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Simon Sirro amethibitisha kutokea kwa mauaji ya askari wawili jirani na ubalozi wa Ufaransa jijini Dar es Salam yaliyofanyika na mtu mmoja ambaye inasemekana ni Msomali ambaye pia amefariki baada ya kutekeleza mauaji hayo.

Taarifa zaidi kukujia..
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger