.

8/26/2021

Mlipuko watokea uwanja wa ndege wa Kabul
Kumetokea mlipuko nje ya uwanja wa ndege wa mjini Kabul, Pentagon imethibitisha.
Bado haijafahamika ikiwa kumekuwa na majeruhi.

Taarifa zaidi kuhusu mlipuko huo katika uwanja wa ndege bado hazijafahamika. Kumekuwa na ripoti za kusikika kwa milio ya risasi.

Mlipuko umetokea katika lango la kuingilia la abbey ambako vikosi vya Uingereza vimekuwa katika eneo hilo siku za karibuni.

Ni moja kati ya milango mitatu iliyokuwa imefungwa baada ya kuwepo tahadhari ya tishio la kigaidi.

Afisa wa Marekani ameliambia Shirika la habari la Reuters kuwa mlipuko huo ulisababishwa na mtu aliyejitoa muhanga.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger