.

8/09/2021

Mmiliki wa Mabasi ya Sumry Afariki Dunia
Mmiliki wa Mabasi ya Sumry Afariki Dunia

Mfanyabiashara mkubwa aliyekuwa mmiliki wa mabasi ya Sumry, Salum Humud Sumry, amefariki dunia alfajiri ya leo Jumatatu Agosti 09, 2021 jijini Dar es Salaam.

Chanzo cha kifo chake bado hakijafahamika na anatarajiwa kuzikwa leo jijini Dar es Salaam.

Enzi za uhai wake, Sumry aliyekuwa na makazi yake, Nkasi mkoani Rukwa alikuwa akifanya biashara ya usafirishaji wa abiria kupitia mabasi ya Sumry na baadaye, aliamua kuachana na biashara hiyo na kuwekeza katika kilimo.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger