.

8/11/2021

Moses Iyobo Atoa Siri "Sikuwa na Mpenda Aunty Ezekiel Nilimtamani tu Nikapita nae"Dancer Wa Diamond Platnumz (@moseiyobo ) Amefunguka kuwa Hakuwahi kumpenda Mama Wa Mtoto wake Ambaye Ni Aunty Ezekiel Ila Alimtamani Tuuu.

"Ukweli sikuwahi Kumpenda Yule mdada Ila Nilikuwa Namtamani Tuuu nikimtazama kwenye Movie Nikaamua Tuuu Nimtongoze Na Yeye Akajaa Basi na Mimi nikapitanae"-Ameongea
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger