.

8/21/2021

Msami Afunguka Irene Uwoya Kumsaidia Laki 5 Wakati Wameshaachana KimepenziWewe unaweza kumsaidia ex wako kama alivyofanya Irene Uwoya?

Msami amesema Irene Uwoya alimsaidia baada ya kupata ajali ya gari na kumalizana na ishu za polisi.

"Mimi na yeye ni washkaji tu, nakumbuka kuna siku nilipata ajali ya gari usiku, asubuhi nikawa polisi hivyo nikawa sipo vizuri mfukoni kwa haraka haraka nikampigia simu Irene Uwoya akanitumia laki 5"- (@msamibaby)
Msami ameongeza kusema wakati anapata msaada huo kutoka kwa Irene Uwoya tayari walikuwa washaachana na hawakuwa tena kwenye mahusiano.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger