.

8/11/2021

Msanii Ali Kiba Ashindwa Kukaa Number 1 Trending Huko YouTube Kisa Diamond Platnumz na HarmonizeMsanii @officialalikiba ameshindwa kukaa no. 1 on trending kwa maudhui ya jumla huko YouTube baada tu ya @harmonize_tz kuingilia kati na Mang'dakawe remix.

Hii inakuwa mara ya pili kwa Alikiba kutofika No.1 on trending katika maudhui ya jumla ikiwa @diamondplatnumz yupo kwenye hiyo Namba. Wimbo wa kwanza ni SALUTE ambao uliishia namba 2 na @officialzuchu akaja kutibua mipango na Nyumba ndogo,wakati Diamond alikuwa na KAMATA,Raundi hii ni IYO vs JEALOUS.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger