.

8/17/2021

Msemaji wa kundi la Wanamgambo la Taliban "Hatuta Lipiza Kisasi"


Msemaji wa kundi la Wanamgambo la Taliban Zabiullah Mujahid amesema Vyombo vyote vya habari Nchini humo viendelee kurusha matangazo kama kawaida lakini visirushe chochote kinachokwenda kinyume na Uislamu na pia wasirushe chochote kinachokwenda kinyume na matakwa ya Taifa hilo.

Vilevile Mujahid amesema hawatolipiza kisasi kwa Mtu yeyote, iwe ni Wanajeshi au wale wote waliofanya kazi na Majeshi ya kigeni “hatutosachi nyumba ya Mtu yeyote, hali kwenye Mji wa Kabul itarejea kwenye ukawaida wake hivi karibuni"
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger