Ticker

6/recent/ticker-posts

Msemo wa Mpili Watumika Kwenye Jezi YangaMsemo wa Mzee Mpili wa maarufu kama “Sisi tuna watu” umekula shavu kwenye jezi mpya za klabu ya Yanga zilizozinduliwa leo ambazo zitatumika msimu wa 2021/22.
Mbunifu wa mavazi wa kimataifa kutoka Tanzania, Sheria Ngowi ametumia ubunifu wa mwonekano wa watu wengi kwenye jezi hizo ikimaanisha msemo wa Mzee Mpili uliopata umaarufu mkubwa bongo

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments