.

8/28/2021

Msigwa: “Tanzania ni miongoni mwa nchi 5 barani Afrika ambazo zina gharama ndogo na nafuu katika mawasiliano
“Kumekuwa na malalamiko ya vifurushi vimepanda, lakini niwaambie Tanzania ni miongoni mwa nchi 5 barani Afrika ambazo zina gharama ndogo na nafuu katika mawasiliano. Licha ya changamoto za kupanda kwa gharama hizi, lakini bado gharama hizi ni nafuu. Kuna mfano wa nchi moja huko nje, gharama ya GB moja ni dola za kimarekani 15”

 “Serikali imetoa shilingi bilioni 50 kuipa  @TTCLCorporation ili kupeleka huduma ya mawasiliano katika maeneo ambayo hayana mawasiliano hapa nchini”

“Serikali imewekeza Bilioni 600 katika mkongo wa Mawasiliano wa Taifa ili kutoa huduma na kuleta nafuu kwa watumiaji wa huduma za simu ikiwemo kupiga na data. Watoa huduma wote wa simu nchini wanahudumiwa na mkongo huu, na mkongo huu unasimamiwa na

@TTCLCorporation
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger