.

8/28/2021

Msigwa: Ujenzi wa mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) umefikia 57%
“Ujenzi wa mradi wa kimkakati wa kufua umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) unaendelea vizuri na ujenzi wake umefikia 57%. Serikali kupitia TANESCO inaendelea kununua vifaa mbalimbali vya ujenzi vya kukamilisha ujenzi huo”

Hayo yamesemwa leo na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo kwenye mkutano wake na waandishi wa habari jijini Dodoma.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger