.

8/05/2021

Mwanamuziki BEKA na IRENE Uwoya Wapenzi?

 


Ni Headlines za @bekaflavour1 ambaye kwa sasa ana hit na Wimbo wake mpyaa *IN LOVE, Ni Hivi Kumekua na Sinto Fahamu Fulani katika ya BEKA NA IRENE UWOYA, katika Kurasa zao za Insta wameanza kucommentiana kimahaba Mahaba zaidi na makopa... Mashabiki wadai huenda wawili hawa ni wapenzi kisiri siri

Juhudi za Kumtafuta @bekaflavour1 na Irene Uwoya zinafanyika ili tuweze kupata ukweli Kuhusu Mahusiano yao kama kweli au sio KweliHABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger